|
za. The American Heritage® Dictionary of the English Language: Fourth Edition. 2000. (256 words) |
 | Za derives from the full form pizza by a process known as clipping. |
 | Two types of clipping are common in English: dropping the unstressed syllables or syllables not receiving the primary word stress, as in fridge from refrigerator; and dropping all syllables after the first syllable, as in ab, dis, porn, and vibe, whether or not the first syllable was originally stressed. |
 | In the case of za, the syllable that was dropped was originally stressed and was the first syllable, which is unusual. |
| Swahili Concepts (3080 words) |
 | Kueleza haki za kibinadamu za wanawake na wasichana au watoto wa kike kama zilivyobainishwa katika Mkataba wa kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake na Mkataba wa Haki za Mtoto,na mikataba mingineyo na kutambua maeneo ya haki ambamo wanawake na wasichana wamebaguliwa. |
 | Kazi za uzalishaji mali zinaingiza kipato au zinachangia nguvu kazi ambayo haijathamanishwa kwa kipato. |
 | Hivi karibuni matangazo mengi ya mafuta ya kupikia na sabuni za kufulia yamekuwa yakidhihirisha hali hii kwa kuonyesha wanawake ndiyo wahusika wakuu katika kazi za kupika na kufua katika kaya, wakati mwingine mikakati ya kujenga na kuimarisha uhusiano wa kijinsia inatengenezwa kwa njia ambayo inawarubuni wanawake hivyo inakuwa vigumu kwa wao kutambua kwamba wananyanyaswa. |