|
Amana Online (5295 words) |
 | Sultan's way with all his forces and risk everything on the result of a single pitched battle, or again he could divide his forces and leave his foot in Argungu while keeping his horse outside as an independent striking force. |
 | The Fulani now found themselves in a hopeless position and before long their whole army was in flight, pursued by the triumphant Kebbi horse 13. |
 | Moreover, by a new clause, the Sultan and the Emir were to acknowledge the Company as the representative of the British Government and to agree not to recognize any other white nation 32. |
| Ujasiri wa Zanzibar (3537 words) |
 | Kwa namna fulani katika mgongano huo wa muda mfupi, Zanzibar iliweza kutoa na kufikisha kilio chake cha kujiamini kinachosikika katika historia nzima. |
 | Sultan wa zamani alikuwa na walinzi wa kasri ambao walikuwa wamejiimarisha kwa kiasi kikubwa na kujirundikia silaha kwa kipindi cha miaka michache ya utawala wake. |
 | Tabia hizi, zikiwa pamoja na ufahamu wa muda mrefu wa siasa wa watu wa Zanzibar, mara nyingi umeyumbisha mipango ya wale ambao wangekuwa watawala waliojaribu kuvitawala visiwa bila kujali maslahi ya wananchi. |