|
Walanguzi wa vocha za simu wajibu mapigo (345 words) |
 | Siku chache tu baada ya kuchimbwa mkwara wa kusakwa kutokana na kulangua vocha za malipo ya simu za mikononi, wauzaji wa vocha hizo wamesema wapo tayari kukamatwa kuliko kushusha bei kwa madai kwamba hata wao wanalanguliwa na makampuni husika. |
 | Wakizungumza na Alasiri kwa nyakati tofauti wauzaji wa vocha hizo wa maeneo mbalimbali Jijini wamesema hawaogopi mkwara waliochimbiwa kwa vile wanajua hauwezi kufanywa asilani. |
 | Mmoja wa wauzaji hao amesema mkwara huo kamwe hatawafanya wapunguze bei za kuruka za vocha hizo kutokana na kuwa wenyewe hulanguliwa na makampuni yanayozizalisha vocha hizo. |
| VOCHA Genealogy and Family History Research (167 words) |
 | Below is a list of the newest databases which contain VOCHA genealogy records. |
 | All VOCHA surname in City Directories from the 1800s and early 1900s |
 | VOCHA search results at Ancestry.com - Automatic search through more than 1.5 billion records of all kinds |